Habari za Mastaa

Jina la Taraji P Henson kwenye nyota za Hollywood Walk of Fame Marekani

on

Mwigizaji kutokea Hollywood Marekani Taraji P Henson atatunukiwa nyota (Star) kwenye Hollywood walk of Fame January 28,2019 ambapo ataungana na watu maarufu wengine ambao tayari majina yao yapo katika fame hiyo Hollywood Marekani.

Taraji Henson ameitumikia Tasnia ya filamu kwa takribani miaka 20 sasa na hivyo atakabidhiwa nyota hiyo kutokana na mchango mkubwa alioutoa ikiwa tayari nyota 2,597 zimeshatolewa kwa mastaa mbalimbali wa Hollywood.

Taraji Henson >>>“Hii ni kwa wale wote ambao waliniwekea mashaka , nilikua na ndoto namshukuru Mungu nilitumia mashaka yenu kuwa imara , Nawapenda na niliwahitaji  Mungu ndiye hicho ndicho nachokijua” 

EXCLUSIVE: JANJA KAFUNGUKA PENZI LAKE JIPYA “AMENILIPA ZAID YA M.5”

Soma na hizi

Tupia Comments