Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mbunge wa Ushetu atunukiwa Udaktari wa heshima Chuo kikuu cha ‘Leadimpact’ nchini Marekani
Share
Notification Show More
Latest News
Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mbunge wa Ushetu atunukiwa Udaktari wa heshima Chuo kikuu cha ‘Leadimpact’ nchini Marekani
Top Stories

Mbunge wa Ushetu atunukiwa Udaktari wa heshima Chuo kikuu cha ‘Leadimpact’ nchini Marekani

September 19, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Septemba 17,2022 imekuwa historia nyingine kwa mbunge wa jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani kuwa miongoni mwa Viongozi waliotunukiwa Udaktari wa heshima kutoka Chuo Kikuu cha LEADIMPACT cha Marekani kufuatia utambuzi wa kusaidia jamii katika nyanja tofauti

Akizungumza mara baada ya kutunukiwa udaktari wa heshima dkt. Cherehani amesema moja ya ajenda kubwa ambayo amekuwa akifanya ni juu ya kuwasaidia wakulima sambamba na kuhakikisha wanapata elimu ya kilimo na ameishukuru Serikali kusimamia ajenda ya kumwezesha mkulima kulima kilimo cha kisasa ikiwemo kuwapatia wakulima ruzuku ya mbolea.

.

You Might Also Like

Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

Flamengo ya Brazil yamtimua kocha Jorge Sampaoli huku wakimtazamia Tite

Edwin TZA September 19, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Drone: Daraja jipya la Wami lakamilika, Shaka asema “Rais Samia amesimamia Ujenzi huu”
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 20, 2022
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.
Top Stories September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023

You Might also Like

Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Sports

Update ya afya ya Christopher Nkunku aonesha video kutokea gym…

September 29, 2023
Sports

Man Utd wamethibitisha kurejea kwa Antony kwenye shughuli za kikosi cha kwanza

September 29, 2023
Sports

Nahodha wa Bayern Neuer arejea mazoezini miezi 10 baada ya kuvunjika mguu

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?