Habari za Mastaa

Billnass akabidhiwa tuzo na chuo alichokuwa anasoma Marehemu Akwilina

on

Staa wa muziki wa Bongo Fleva Billnass alikuwa ni miongoni mwa mastaa waliohudhuria msiba wa mwanafunzi wa chuo cha usafirishaji NIT Marehemu Akwilina Akwilin aliyefariki kwa kupigwa risasi February 16,2018

Billnass akiwa ndiye msanii pekee aliyehudhuria msiba wa Marehemu Akwilina katika ibada ya kuuaga mwili katika chuo cha NIT February 22,2018 amefanikiwa kukabidhiwa tuzo na uongozi wa chuo cha NIT Dar Es Salaam  kama shukrani zao kwakwe kwa kufanya hivyo.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Bill Nas ameandika >>>“Ahsanten Sana Wasomi na Uongozi Mzima Wa CHUO CHA (NIT) Dar es Salaam Campus Tuzo yenu imenifikia na nimeipokea kwa Moyo Mmoja na Heshima kama Mlivyoitoa kwa Heshima nasema Ahsanten Sana #amhumbled #Linthemaking#TAGIUBAVU

Wema na Steve Nyerere baada ya Lulu kuachiwa ‘Asante JPM’

Soma na hizi

Tupia Comments