Habari za Mastaa

VIDEO: Meneja Maneno na Label Mpya Is-Bah Entertainment, kafunguka haya

on

Ukitaja majina ya mameneja wakongwe waliowahi kusimamia wasanii wa muziki wa bongofleva huwezi kuacha kulitaja jina la Meneja Maneno ambaye ameshawahi kumsimamia msanii Richi Mavoko, Samu wa Ukweli, T I D, Ney wa Mitego na wengine, amezungumza kuhusu Label mpya.

Meneja Maneno ameelezea uwepo wake katika Label mpya ya Is-Bah Entertaiment ambayo inasimamia wasanii na imeanza na msanii mmoja anayeitwa Bgway aliyekuwa anafanya kazi na Nay wa Mitego hapo zamani.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Meneja Maneno akifungunga.

AUDIO: NYOSHI BAADA YA KUSIKIA MATOKEO YA UCHAGUZI CONGO “SIWEZI RUDI HAPA NDO NYUMBANI”

Soma na hizi

Tupia Comments