Habari za Mastaa

VIDEO: Nomaa!! Walivyopokelewa wasanii Fiesta Arusha

on

Msimu wa Fiesta kwa Arusha unazi kunukia na tayari wasanii watakao panda jukwani siku ya jumamosi washawasili Arusha kwaajili ya kutoa burudani ya nguvu pale uwanja wa Sheikh Amri Abeid Stadium Arusha, karibu kutazama mapokezi ya Wasanii hao ndani ya Arusha.

VIDEO: Jamaa aliyechungulia fursa FIESTA ARUSHA awatengenezea mastaa culture

Soma na hizi

Tupia Comments