Premier Bet
TMDA Ad

BreakingNews

MSIBA: Aliyewahi kuwa meya wa Dar, Dr Didas Massaburi afariki dunia

on

Aliyewahi kuwa meya wa Dar es Salaam na mbunge wa Afrika Mashariki, Dr Didas Massaburi amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya taifa Muhimbili mahali alikokuwa akipata matibabu yake.

Kaa karibu na millardayo.com & Ayo TV tunaendelea kufuatilia chanzo cha mauti yake pamoja na ratiba za mazishi.

ULIIKOSA HII YA WATUMISHI HEWA WASEPA NA SH 5 BILIONI ZA ‘BENKI’ BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments