Habari za Mastaa

Ibraah ametuletea hii EP yake yenye nyimbo 5 akiwemo, Joeboy, Harmonize, na wengineo

on

NI Headlines za Msanii kutokea Konde Gang, Ibraah anaesimamiwa na Harmonize leo ameziachia nyimbo zake (5) zinazopatikana kwenye EP yake aliyoipa jina la STEPS.

Katika EP Ibraah amewashirikisha wasanii akiwemo Harmonize, Joeboy, Skiibii

Ibraah ft Harmonize – ONE NIGHT STAND

 

Ibraah- Wandoto

Ibraah ft Joeboy -Wawa

Ibraah ft Skiibii- Subira

Ibraah- Nani

Soma na hizi

Tupia Comments