Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

Nakualika kutazama video mpya ya Dayna hii inaitwa I DO..

on

daynaHii ni video mpya aliyoahidi DAYNA NYANGE kwa mashabiki wake kuwa itatoka mwanzoni mwa mwezi wa 8 kaikamilisha ahadi na sasa ipo tayari,wimbo unaitwa I DO ndani ya wimbo utamchek Ammy Nando ambaye alikua mshiriki wa Big Brother Africa 2013.

dayna2Video imetayarishwa na kampuni inayoitwa Kwetu Studio na upande wa audio imefanywa na Producer Triss kutoka Conga Music.

Bonyeza play kutazama hapa chini.

Unataka niwe nakutumia kila stori inayonifikia? niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta FB

Tupia Comments