Habari za Mastaa

Idris atangaza vita kwa wauza Sanitizer waliopandisha bei

on

Mchekeshaji Idris Slutan ameonesha kukerwa na tabia ya baadhi ya wafanya Biashara waliopandisha Bei za Sanitizer baada ya bidhaa hizo Kuwa na uhitaji mkubwa kwa watumiaji Kama sehemu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.

Bonyeza Play hapa chini kufahamu zaidi.

JEURI YA HELA, NANDY KAANZISHA HILI, WEMA SEPETU NAYE KURIDI NA JIPYA

Soma na hizi

Tupia Comments