Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Idrissa Gueye aikacha PSG kupinga mapenzi ya jinsia moja
Share
Notification Show More
Latest News
Matokeo ya Urais Kenya kutangazwa leo, Mgombea Ruto awasili Ukumbini Boma ‘Kusubiria matokeo hayo’
August 15, 2022
Live: Matokeo ya Urais nchini Kenya yanatangazwa muda huu
August 15, 2022
Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’
August 15, 2022
Club ya Wolves ya England kuleta makocha wawili Tanzania
August 15, 2022
Azikwa akiwa hai huko Madaba, DC afika eneo la tukio, ‘Jambo hili ni la kinyama’
August 15, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Idrissa Gueye aikacha PSG kupinga mapenzi ya jinsia moja
Sports

Idrissa Gueye aikacha PSG kupinga mapenzi ya jinsia moja

May 16, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Kiungo wa Kimataifa wa Senegal anayecheza PSG ya Ufaransa Idrissa Gana Gueye (32) imebainika kuwa alikosa game ya PSG dhidi ya Montpellier Jumamosi iliyopita sababu hakutaka kuvaa jezi zenye namba zenye rangi za upinde (rainbow flag).

Idrissa inaeleza kuwa hakutaka kucheza mechi hiyo sababu ya kutokuwa radhi kuvaa namba hizo ambazo zinaashiria kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja ndipo akaondolewa kikosini dakika za mwisho.

Kwenye mzunguuko huo ambao timu zote za Ligue 1 walivaa jezi zenye namba zenye rangi ya upinde PSG walishinda 4-0, kwa upande wa Kocha wa PSG Pochettino alisema Idrissa “Idrissa alilazimika kuondoka katika list kwa sabau zake binafsi lakini si majeruhi”

You Might Also Like

Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’

Club ya Wolves ya England kuleta makocha wawili Tanzania

Inter Milan wawapa Yanga cha kusema, Shaffi Dauda atia neno, Manara apigilia msumari

Barbara awatuliza mashabiki wa Simba, wataka Mzungu aachwe wana mashabiki na mbinu za Kocha

Aziz Ki Mfalme mpya town, mchezo dhidi ya Simba SC ya dhihirissha ubora wake, ‘Jemedari amwagia sifa’

TAGGED: soka ulaya
Rama Mwelondo TZA May 16, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Waziri Ummy anatoa makadirio ya Mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Afya 2022/2023
Next Article Waziri Mkuu kuzindua Maonesho ya 7 UDSM ya Wiki ya Ubunifu na Utafiti
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Matokeo ya Urais Kenya kutangazwa leo, Mgombea Ruto awasili Ukumbini Boma ‘Kusubiria matokeo hayo’
Top Stories August 15, 2022
Live: Matokeo ya Urais nchini Kenya yanatangazwa muda huu
Top Stories August 15, 2022
Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’
Sports August 15, 2022
Club ya Wolves ya England kuleta makocha wawili Tanzania
Sports August 15, 2022

You Might also Like

Sports

Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’

August 15, 2022
Sports

Inter Milan wawapa Yanga cha kusema, Shaffi Dauda atia neno, Manara apigilia msumari

August 15, 2022
Sports

Barbara awatuliza mashabiki wa Simba, wataka Mzungu aachwe wana mashabiki na mbinu za Kocha

August 15, 2022
Sports

Aziz Ki Mfalme mpya town, mchezo dhidi ya Simba SC ya dhihirissha ubora wake, ‘Jemedari amwagia sifa’

August 14, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?