AyoTV

Baada ya kushikana mikono Mlimani City, Idris ajibu maswali matatu ya kurudiana na Wema (video)

on

Baada ya Mwigizaji Wema Sepetu na Idris Sultan kuingia pamoja wakiwa wameshikana mikono kwenye Red Carpet Mlimani City usiku wa leo kwenye uzinduzi wa movie ya Wema, maswali mengi watu waliyouliza ni kama wawili hao wamerudiana.

Baada ya kuingia wakiwa hivyo pamoja Idris alikubali kukaa mbele ya Waandishi wa habari waliomtwanga maswali na yote akayajibu bila kupindisha.

MASWALI ALIYOULIZWA: Ni kweli mmerudiana na Wema? hiyo love bite hapo shingoni viiiiiiiipi? Imekuaje mmeamua kuingia kwa pamoja wewe na Wema? 

Hii video hapa chini inalo majibu yote ya Idris kutokana na hayo maswali hapo juu…..

RED CARPET: Wema na Idris wamerudiana? tazama walivyoingia Mlimani City pamoja….. ni full kushikwa mkono, bonyeza play hapa chini kujionea

HATIMAE !!! Wolper afunguka kuhusu kuachana na Harmonize, Sarah katajwa humo ndani mwanzo mwisho…. bonyeza play hapa chini kumtazama Wolper mwanzo mwisho

HUTAKI KUPITWA??? Kuna hii APP MPYA YA MILLARD AYO kwa wale watu wangu wenye simu za ANDROID, UNAWEZA KUI-INSTALL KWA KUBONYEZA HAPA MOJA KWA MOJA >>> APP MPYA

Soma na hizi

Tupia Comments