Habari za Mastaa

Nyingine kubwa ya leo Dar es salaam ni hii!

on

Screen Shot 2014-05-09 at 12.16.03 AMHuwa inatokea tena mara ya moja tu kwa mwaka kwa tukio hili la Miss IFM ambapo mwaka huu pamoja na mengine zaidi yaliyoandaliwa CMB Prezzo kutoka Kenya ndio msanii atakaechukua nafasi kwenye stage.

millardayo.com itakuwepo kwenye eneo la tukio kuanzia mwanzo mpaka mwisho so karibu tukutane pamoja tutokee pamoja kwenye picha za website yetu pamoja na video za TV yetu ya AyoTV.

Tupia Comments