Habari za Mastaa

Iggy Azalea na mpenzi wake Playboi Carti imeripotiwa wamepata mtoto wa kime

on

NI Headlines za Mkali Iggy Azalea na Mpenzi wake  Playboi Carti ambapo wawili hao wanazimiliki vicha vya habari nchini Marekani kwa kupata mtoto wa kime.

Iggy Azalea na mpenzi wake Playboi Carti penzi lao limefikisha miaka miwili tangu na Iggy Azalea kabla ya kuwa na Playboi hapo awali alikuwa kwenye mahusiano na mchezaji anaekipiga kwenye mchezo wa kikapu NBA aitwae Nick Young.

Iggy Azalea na mpenzi wake Rapper  Playboi Carti wameripotiwa kupata mtoto huyo wa kime wikiendi iliyopita

 

Soma na hizi

Tupia Comments