Michezo

Ighalo aendelea kubakia Man United

on

Mshambuliaji wa Nigeria anayecheza Man United kwa mkopo akitokea Shanghai Greenland ya China Odion Ighalo ,30, ameongezwa mkataba wake wa mkopo Man United

Ighalo ambaye sasa atasalia Old Trafford hadi January 31 2021, mkataba wake wa awali ulimalizika May 31 2020.

Odion Ighalo ambaye wengi hawakuwa wakitarajia makubwa kutoka kwake, ameonesha uwezo mkubwa sasa katika kipindi kifupi alichocheza Man United.

Soma na hizi

Tupia Comments