Top Stories

IGP Sirro akagua Vijiji vilivyowavamiwa na magaidi Mtwara “ugaidi biashara mbaya” (+video)

on

IGP Sirro amekagua vijiji vilivyovamiwa na Magaidi Mkoani Mtwara na kuzungumza na Wananchi wa vijiji hivyo vya Kitaya na Michenjele akiwasisitiza kuondoa wasiwasi na kuendelea kuwafichua Wahalifu.

“Ukiingia kwenye Ugaidi ukipona shukuru, ila tukikupata tutakushughulikia, Ugaidi ni biashara mbaya, Ugaidi ni kuua, Wanachi waliokimbia vijiji vyao warudi, Wazazi walindeni Watoto wasiingie kwenye Ugaidi”– Sirro

Soma na hizi

Tupia Comments