Top Stories

IGP Sirro “Mbowe awe mkweli si anasali, ushahidi tunao” (+video)

on

“CHDAEMA walikuwa na mkutano nanyi mlisikia, wanaona Mwenyekiti wao ameonewa na wanasema hawezi kuwa hivyo, wanamuona ni Malaika hawezi kufanya kosa, kabla ya Uchaguzi nilisema kuna watu wamepanga kuhakikisha uchaguzi haufanyiki, nilisema kuna watu wamepanga kulipua Visma avya mafuta, nilisema kuna watu wamepanga kufanya mauaji ya Viongozi, na nilisema hiyo nafasi hawatoipata” Sirro

“CHADEMA wajue Mbowe ni binadamu kama binadamu wengine, anaweza kufanya makosa kama binadamu wengine, nilieleza kuna watu wamechukua vijana waliofukuzwa kwenye majeshi yetu, Viongozi wa dini, Vyama vya Siasa wasiseme ameonewa” Sirro 

“Mbowe kama ni mkweli waende wamuulize, kuna mambo unaweza kuyafanya ni siri lakini vyombo vya habari vipo, jambo usilolijua ni usiku wa giza, kapelekwa tusubiri Mahakama itoe uamuzi” IGP Sirro akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu madogo ya Jeshi la Polisi

 

Soma na hizi

Tupia Comments