AyoTV

VIDEO: Hatua zitakazochukuliwa na Jeshi la Polisi dhidi ya wanaosema vibaya mauaji ya askari

on

Askari Polisi nane wameuawa kwa risasi na mmoja kujeruhiwa baada ya kuvamiwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi usiku wa April 13, 2017 katika Wilaya ya Kibiti, Mkoani Pwani.

Miili ya askari hao imeagwa leo April 15, 2017 katika viwanja vya Polisi Kilwa Road ambapo Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Ernest Mangu alitoa angalizo kwa waliofanya mauaji hayo.

 “Kuna watu ambao hawataki nchi yetu ibaki kuwa na amani na wameamua kuvamia chombo ambacho ndiyo kinadumisha amani hapa nchini. Jambo hili hatuwezi kulivumilia na kulikubaliki.” – IGP Ernest Mangu.

Bonyeza play kutazama full video…

VIDEO: Hotuba ya Waziri Nchemba wakati wa kuiaga miili ya askari waliouawa Kibiti. Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments