Habari za Mastaa

VIDEO: Kutana na chalii ya Ngarenaro aliyeshinda Supa Nyota Arusha

on

Mashindano ya Supa Nyota yamekamilika kwa Arusha na mshindi ni msanii Zido kutokea Ngarenaro ambaye alichuana na watu wasio pungua 100 walioshiriki shindano hilo lililofanyika maeneo ya soko la Kilombero Arusha, Bonyeza PLAY hapa chini kutazama ilivyokuwa paka kupatikana mshindi.

NOMA!! WALIVYOPOKELEWA WASANII FIESTA ARUSHA 

VIDEO: Jamaa aliyechungulia fursa FIESTA ARUSHA awatengenezea mastaa culture 

Soma na hizi

Tupia Comments