Kutoka Rock City Mwanza sehemu yangu nyingine ninayoizimia kwa muonekano wake maridhawa, Camera ya Ayo TV, millardayo.com imezinasa Picha za maeneo ya Igogo Jijini Mwanza zikionesha Nyumba zilivyojengeka juu ya milima, niambie kwa muonekano huu unaweza kufananisha na sehemu gani nyingine Duniani.