Vituko/ Comedy

FAHAMU: Unaangalia Katuni, unajua zinavyotengenezwa? Aina zake je?

on

Katuni ama Vikaragosi ni moja ya njia ambayo wasanifu wake hutumia kufikisha ujumbe kwa jamii lakini Katuni ama Vikaragosi ni nini? Kuna aina ngapi za Katuni/Vikaragosi? Ayo TV na millardayo.com zinaye kwenye EXCLUSIVE mtaalamu wa kuchora na kutengeneza Katuni Geofrey Mayolo.

Geofrey Mayolo ambaye anajulikana zaidi kutokana na Katuni yake ya Mr. Admin ni Kijana Mtanzania na ana majibu yote na anatoa ufafanuzi kuhusu aina, namna, na ugumu wa kuchora na kutengeneza Katuni.

ULIPITWA? Ombi la Wamiliki, wachimbaji wadogo wa madini kwa Rais Magufuli…tazama kwenye video hapa chini!!!

Soma na hizi

Tupia Comments