Habari za Mastaa

Majizzo ‘Ruge ni baba, hatukuwa na bifu’ (+video)

By

on

Mkurugenzi wa Television ya ETV pamoja na Radio ya EFM Majizzo amezungumza na AyoTV na millardayo.com kuhusu vitu atakavyovikumbuka kwa Marehemu Ruge Mutahaba kutokana na ukaribu aliokua nao pamoja na ushauri aliokuwa akimpatia ikiwemo na mchango alioutoa kwenye tasnia ya burudani Tanzania.

Bonyeza PLAY kutazama alichozungumza Majizzo.

VIDEO:KUTOKA BUKOBA NYUMBANI KWA BABU YAKE RUGE, KAGERA ATAKAPOZIKWA

Soma na hizi

Tupia Comments