AyoTV

VIDEO: Pyramids FC imewasili jijini Mwanza na ndege ya Kisasa

on

Kikosi cha Pyramids FC kimewasili jijini Mwanza kwa ajili ya mchezo wao wa kwanza wa Play off dhidi ya Yanga SC utakaochezwa CCM Kirumba, mchezo huo wa kuwania kucheza Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika utachezwa Jumapili ya October 27 2019 saa 16:00, hivi ndivyo walivyowasili Mwanza.

BREAKING: Mashabiki wa Yanga wanaokwenda Mwanza wamepata ajali

Soma na hizi

Tupia Comments