AyoTV

Ya Rais Magufuli na bank ya dunia leo Ikulu.. bandari na reli ya kati kwenye headlines

on

Bank ya dunia ipo tayari kuendelea kushirikiana na serikali ya Tanzania kwenye miradi mingine kama upanuzi wa bandari ya Dar es salaam na ujenzi wa reli ya kati kwa kiwango cha kisasa zaidi, mengine yote utayapata ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments