Habari za Mastaa

Jay Z na Beyonce waamua mboga za majani kuwa kiingilio katika matamasha yao

on

Hili ndio dau kubwa lililotoka kwa wanandoa Jay Z na Beyonce kwa mashabiki wao ili kushinda tickets zitakazowaruhusu mashabiki kuhudhuria matamasha yao yote  bure bila malipo yoyote.

Ili kupata tiketi hizo unachotakiwa ni kutokula nyama mwezi mmoja na kula mboga za majani pekee, dau hilo limetangazwa katika mradi wao wa “Green Print” .

Mradi huo ni kwaajili ya kuwahimiza watu kutumia vyakula vya mboga mboga kwenye milo yao. Kupitia ukurasa wa instagram wa Beyonce ameandika “Nini ni Greenprint? bonyeza kwenye bio ili kupata nafasi ya kushinda tiketi kwenye tamasha la kwangu au Jay Z maisha yako yote”

LIVE:ALICHOKIZUNGUMZA SHETTA KWA RC MAKONDA

Soma na hizi

Tupia Comments