Premier Bet SwahiliFlix Ad Vodacom Ad

Habari za Mastaa

Chris Brown aamriwa amlipe Meneja wake | Adaiwa kutumia Dawa za kulevya

on

Mtandao wa The Blast umeripoti kuwa Muimbaji Chris Brown aamuriwa na Mahakama kumlipa Meneja wake wa zamani Mike Guirguis fidia ya kiasi cha shilingi Milioni 4 za Kitanzania kwenye kesi yao ya mwaka 2016.

Inaelezwa kuwa Mike alimfungulia mashatka muimbaji huyo kwa kuwahi  kumfungia ndani na kumtesa kwa kumfunga kamba (false imprisonment) ambalo ni kosa la jinai na aliiomba Mahakama imchunguze Chris Brown kwa utumizi wa dawa za kulevya.

Mike Guirguis aliwahi kuajiriwa na Chris Brown mwaka 2009 ili kurudisha mtazamo mzuri kwa jamii (image) baada ya kuchafuka kwa kumpa kipigo kizito Rihanna.

‘YEEBABA’ NI YETU MANDOJO NA DOMOKAYA SIO YA ALIKIBA HAJATUOMBA

Soma na hizi

Tupia Comments