Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: CEO wa Simba, alipoulizwa hatma ya Aussems kwakutofikia target
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
March 27, 2023
Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro
March 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > VIDEO: CEO wa Simba, alipoulizwa hatma ya Aussems kwakutofikia target
AyoTVSports

VIDEO: CEO wa Simba, alipoulizwa hatma ya Aussems kwakutofikia target

October 24, 2019
Share
1 Min Read
SHARE
Simba SC baada ya kuwa na msimu mzuri katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu 2018/19 kiasi cha kufika robo fainali, muwekezaji wa timu hiyo MO Dewji alitangaza kuwa wamempa kocha wao Patrick Aussems malengo ya kufikia.Simba SC ilidaiwa kumpa target kuwa msimu huu wa 2019/20 anatakiwa afike nusu fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa bahati mbaya Simba SC ikatolewa na UD Songo round ya awali, vipi hatma ya kocha Aussems wataendelea nae tena au anatafutiwa mbadala? CEO wa Simba SC Senzo Mazingiza amefunguka kupitia AyoTV.

“Hadi sasa Mr Patrick Aussems ni kocha wa Simba SC anaendelea kufanya kazi yake kuna vitu vingi msimu uliopita na sasa tunafanyaje sasa tukirudi nyuma (kumuondoa) tunaharibu kila kitu kwa sababu hatujafikia malengo yetu? tunatakiwa kutafuta njia ya kuhakikisha klabu inakuwa imara na inacheza vizuri ila hadi sasa Patrick Aussems anaendelea kuwa kocha wa Simba” >>> Senzo Masingiza

https://youtu.be/Izkk15ruxts
AUDIO: SERGIO AGUERO WA MAN CITY AMEPATA AJALI
https://youtu.be/Xqwgh-UFAMo

You Might Also Like

Kocha Mkuu wa Taifa Stars awaita kikosini wachezaji hawa wawili wa Simba SC

Full Video: Tazama Mandonga alivyompiga Kenneth ‘Raia wa Uganda’ na kuibuka Mshindi wa Pambano hilo

Picha: Hawa ndio ‘Perfect Kanzu’, mastaa na Watu maarufu ununua hapa Kanzu zao Dar es Salaam

Kapombe na Tshabalala waongezwa Taifa Stars

Kocha Micho wa Uganda ajitetea kipigo cha Taifa Stars “Timu ya Mpito”

TAGGED: Ayo TV, AyoTV, Soka bongo
Rama Mwelondo TZA October 24, 2019
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Cheka na machalii wa Chugga watengeneza gari na kuliendesha mtaani (+video)
Next Article VIDEO: Jibu la Kagere alipoulizwa kuhusu Molinga wa Yangaat
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
Top Stories March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
Top Stories March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
Top Stories March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
Top Stories March 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana

March 27, 2023
Top Stories

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

March 27, 2023
Top Stories

Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya

March 27, 2023
Top Stories

Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro

March 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?