“Tanzania na Oman sio marafiki tu ni ndugu na hata kihistoria inajulikana na ndio maana nimepongeza ziara hii ya siku kumi, Znz siku 5 na Tanzania bara siku 5… nimeshukuru sana kwamba katika mission yao waliyotumwa na Mfalme wamekuja kuangalia swala la uwekezaji hasa kwenye viwanda” – amesema Rais Magufuli Ikulu leo
Mengine aliyoongea President Magufuli pamoja na Waziri huyu wa mafuta wa Oman akiongea mwanzo mwisho kwa kutumia lugha ya Kiswahili bonyeza play kwenye hii video hapa chini
VIDEO: Rais Magufuli kataja tena Mshahara wake.. bonyeza play hapa chini kumtazama