Habari za Mastaa

Davido afanya kufuru kwenye birthday ya mpenzi wake

on

Staa wa muziki kutokea Nigeria Davido amechukua headlines katika mitandao ya kijamii baada ya kumzawadia mpenzi wake Chioma gari aina ya Porshe yenye gharama zaidi ya Shillingi Milioni 200 za Kitanzania katika siku yake ya kuzaliwa ambapo sherehe hiyo ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali. 

Davido pia amemtungia mpenzi wake wimbo unaoitwa “Assurance” ambapo pia ndio plate namba ya gari hilo alilo zawadiwa Chioma katika siku yake ya kuzaliwa ambapo anatimiza miaka 23 iliyofanyika jana April 30,2018 Lagos Nigeria.

Billnas aongelea ishu ya kuoa mwakani

Soma na hizi

Tupia Comments