Video Mpya

VideoMPYA: Ladies & Gents hii ni kutoka kwa Wastara “Mama na mwana”

on

Hii ni surprise kutoka kwa muigizaji wa Bongo Movie Wastara Juma ambapo kaja na video ya wimbo wake mpya wa “Mama na Mwana” hii inaonyesha kuwa sio kipaji tu cha uigazaji bali hata uimbaji anauweza.

Ulipitwa na maneno ya Majizzo kwa Lulu “Utakuja kuisoma one day”

Soma na hizi

Tupia Comments