Habari za Mastaa

GOOD NEWS: Mwana FA aongeza mwanafamilia mwingine

By

on

Ipokee habari njema kutoka kwa staa mkongwe katika muziki wa Bongo Fleva Mwana FA ambaye amebahatika kupata mtoto wa pili wa kike usiku wa jana May 22,2018

Mwana FA ni miongoni mwa mastaa wachache ambayo hawaweki mahusiano yao ya kimapenzi katika mitandao ya kijamii na pia amekuwa mtu ambaye ni msiri kuhusiana na familia yake kwenye mitandao ya kijamii

Mwana FA alifunga pingu za maisha na mke wake Helga mwaka 2016 na hivyo baada ya miaka miwili wamebahatika kuongeza mwanafamilia mwingine katika familia yao, hongera nyingi ziwafikie 

Mkuu wa Wilaya atoa machozi ‘kwa kipigo walichopata Wananchi wake’

Soma na hizi

Tupia Comments