Habari za Mastaa

Muigizaji Gabrielle Union na Mume wake Dwayne wabahatika kupata mtoto

on

Muigizaji kutokea Hollywood Marekani Gabrielle Union pamoja na mume wake Dwayne Wade wamebahatika kupata mtoto wa kike usiku wa kuamkia November 7,2018 kwa njia ya surrogate (Mama Mbadala).

Dwayne Wade ambaye ni mchezaji wa kikapu NBA tayari ana watoto wawili wa kiume aliozaa na mwanamke mwingine, ila kwa upande wa Gabrielle Union huyo ndiye mtoto wake wa kwanza pamoja na Dwayne kwenye ndoa iliyodumu miaka minne.

Gabrielle Union aliwahi kuelezea kwenye kitabu chake cha ‘We’re Going To Need More Wine’ ambapo alielezea ugumu alioupata kwenye kubeba ujauzito na kuelezea kuwa mimba 8 tayari ziliharibika(Miscarriage) na hali hiyo ilimpa wakati mgumu kupata watoto.

Hamisa Mobetto amuonyesha “Roho mkalia moyo wake” Mmarekani

Soma na hizi

Tupia Comments