Habari za Mastaa

Sababu inayowafanya vijana wa Arusha wafanye muziki wa Hip Hop

on

Wimbi la vijana wa Rchugga limekuwa likichukua headlines kwenye mitandao ya kijamii hasa kwenye upande wa kuonekana kujikita zaidi kufanya muziki wa Hip Hop pamoja na kuwa na muonekano wa kitofauti hasa mavazi.

Kutana na Sydney Stanley kwenye Exclusive interview na Ayo Tv akielezea kuhusiana na sababu kubwa ya vijana wa Arusha kufanya muziki wa Hip Hop.

Alikiba ‘Wasafi nimewasikia ila Niko busy na Mofaya, Nitawadhamini’

Soma na hizi

Tupia Comments