Habari za Mastaa

BIG UP! Shilole aonyesha nyumba anayojenga (+picha)

By

on

Kutokea kuuza soda na vitafunwa kwenye stand ya Mabasi mpaka kuwa Msanii na sasa anaelekea kuwa miongoni mwa kina Mama wenye nyumba au wanaomiliki nyumba kwenye ardhi ya Dar es salaam, Msanii Shilole ambae pia kwa sasa ni Mama Ntilie ametuonyesha nyumba yake ilipofikia na kuandika yafuatayo

“Mama Ntilie mie nikiwa ktk harakati za kupambana kumalizia ili na mimi niitwe Mama mwenye Nyumba. Mjini pagumu haijawa rahisi lakini ashukuriwe Mungu Nilisema Ntakomaa ma Jiji Mnyamwezi wa Igunga mimi.”

MBUNGE EASTER MATIKO AONYESHA NYUMBA YAKE YA DAR, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

VIDEO: MKE WA MZEE MAJUTO AFUNGUKA: “NIMEFUKUZWA TANGA” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments