Habari za Mastaa

”Ukweli kinachoendelea kuhusu Petitman na Malkia Karen”

on

Fahamu kuwa kumekuwa na maneno mengi kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na Petit Man wakuache kuhusishwa kutoka kimapenzi na mwimbaji wa Bongo Fleva Karen ambaye ni mtoto wa mtangazaji wa Clouds Fm Gardner G Habash.

Petit Man hakutaka hiki kitu kiendelee kwa upande wake maana hii sio mara ya kwanza kwa wawili hao kuhusishwa kimapenzi , hivyo Petit Man ameweka wazi kuhusiana na hiki kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii na hii ni baada ya picha yake kuwekwa na picha ya Karen na kuhusishwa kuwa walikuwa wote kwenye moja ya tukio.

IRENE UWOYA KUONEKANA KWENYE VIDEO MPYA YA DOGO JANJA NA SEAN PAUL

Soma na hizi

Tupia Comments