PICHA 15 kutokea Ikulu Dar, Rais Magufuli kawaambia wakuu wapya wa Mikoa wajiandae kuwajibishwa wasipowajibika
Share
2 Min Read
SHARE
March 13 2016, Rais John Pombe Magufuli aliwateua wakuu wapya wa Mikoa 26 Tanzania bara, ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwakatika vituo vyao vya kazi, 5 wamehamishwa vituo vya kazi na 1 amepangiwa Mkoa Mpya wa Songwe. Leo March 15 2016 Ndio siku wakuu hao wamefika Ikulu Dar es salaam na kula viapo vya utii mbele ya Rais Magufuli.
Anne Malecela, Paul Makonda na John MalecelaNaibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Seleman Said JaffoMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest ManguWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Anjella KairukiSaid Meck Sadiki.Rais John Pombe Magufuli kabla ya kuanza kuwaapisha wakuu wapya wa MikoaRais Magufuli akimuapisha Anne Malecela
Rais Magufuli akimuapisha Mkuu wa mkoa Dae es salaam Paul MakondaRais Magufuli katika picha ya pamoja na baadhi ya Mawaziri na Makamu wa RaisBaadhi ya Wakuu wa Mikoa wakisaini hati za ViapoWakuu wa Mikoa wakila viapo kwa sautiMakamu wa Rais Samia Suluhu akiongea na Wakuu wa MikoaRais Magufuli katika picha ya pamoja na Wakuu wapya wa Mikoa
Ilikupita hii video EXCLUSIVE: Paul Makonda kaongea nini baada ya kupewa Ukuu wa Mkoa?
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagramna YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTER FBYOUTUBE