Mix

Rais Magufuli kamhamisha DC na kumteua mwingine

on

July 7 2016 tumesogezewa taafa kutoka Ikulu Dar es salaam ambapo Rais John Pombe Magufuli amefanya uteuzi mpya kwa kamteua Deogratius Ndejembi kuwa mkuu wa wilaya ya Kongwe na kumhamisha John Palingo kwenda wilaya ya Mbozi, baada ya aliyeteuliwa kuwa DC wa Mbozi Ally Maswanya kuomba uteuzi wake utenguliwe.

WhatsApp-Image-20160707

ULIIKOSA HII YA RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA TAARIFA 

Soma na hizi

Tupia Comments