Mix

Picha kumi za Ikulu zinazoongoza kwa matumizi mabaya ya fedha duniani

on

Turkey's new Presidential Palace at nightKuna malalamiko mengi tumekuwa tukiyasikia kuhusu Ikulu za nchi kuhusishwa na ufujaji mkubwa ama matumizi mabaya ya fedha.

Hizi ni picha na orodha ya Ikulu kumi zinazoongoza kugharimu pesa nyingi kuanzia kwenye ujenzi mpaka matumizi yake ya kila siku.

New Turkish presidential palace in Ankara

No. 1– Jumba jipya la Ikulu ya Uturuki, liko katika jiji la Ankara na kwa sasa huenda likawa jumba kubwa zaidi kuliko Ikulu ya Marekani. Ujenzi wake umegharimu zaidi ya Dola Mil. 350.

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

No.2– White House, Ikulu ya Marekani. Ikulu hii iko Washington D.C, na imekuwa ikitumika kama Ikulu tangu mwaka 1800, Marekani ikiongozwa na rais John Adams.

Brazil Pres. Palace

No. 3– Planalto, Ikulu ya rais wa Brazil. Iko katika jiji la Brasilia. Imekuwa ikitumika kama Ikulu tangu mwaka 1960, wakati huo rais akiwa Oscar Niemeyer.

Grand_Kremlin_Palace-1

No. 4– Grand Kremlin, Ikulu ya Urusi iliyopo jijini Moscow. Imeanza kutumika kama Ikulu tangu mwaka 1849.

Taipei Pres Palace

No. 5– Jumba la Ikulu ya Taipei, Taiwan. Imekuwa ikitumika kama Ikulu tangu mwaka 1950.

Argentine

No. 6– Casa Rosada, Hii ni Ikulu ya Argentina. Ipo katika jiji la Buenos Aires.

Hanoi

No. 7– Hanoi, hii ni Ikulu ya Vietnam. Iko katika jiji la Hanoi.

DRC Congo

No. 8- Hii ni himaya ya Ikulu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ipo katika jiji la Kinshasa.

Korea Kusini

No.9- Hii ni Ikulu ya Korea Kusini, inaitwa Park Geun-hye. Iko katika jiji la Seoul.

Schloss Bellevue_Palace_Berlin_02-14

No. 10- Inafahamika kama Schloss Bellevue, ni Ikulu ya Ujerumani. Iko katika jiji la Berlin.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments