Stori Kubwa

Kutoka Ikulu kuhusu dola MILIONI SITA zilizorudishwa Tanzania (+AUDIO)

on

Ikulu ya Tanzania imesema yafuatayo >>> ‘tunapenda kusisitiza kuwa juhudi za kuwezesha kurejeshwa kwa fedha hizi zimefanikiwa kutokana na ushirikiano mkubwa uliotolewa na vyombo vya serikali ya Tanzania ambavyo ni Benki Kuu, Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) na kitengo cha usalama wa fedha, hivyo sio kweli kuwa kuna mtu yeyote awe mwanasiasa au mwanaharakati aliyefichua jambo hili’

Mengine yote yapate kwa kubonyeza hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments