Mix

Rais MAGUFULI alivyokutana na Maalim Seif leo Dec.21,2015 Ikulu…Picha

on

Bado tunajua Zanzibar hakupatikana Rais mpaka sasa kutokana na mgogoro wa kisiasa unaoendelea..

Kumekuwepo na sintofahamu baada ya Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salim kuyafuta matokeo yaliyomtangaza mgombea Maalim Seif kuwa Rais wa Zanzibar hali iliyopelekea mpaka sasa kushindwa kufikia muafaka.

Ujio wa Maalim Seif kwenye Ikulu ya Dar es salaam unakuwa wa pili mara baada ya awali kuja kuonana na Rais mstaafu Jakaya Kikwete, leo Desemba 21 amekutana tena na Rais Magufuli ikiwa ni muendelezo wa mazungumzo yao kuhusu muafaka wa kupatikana kiongozi atayewaongoza wananchi wa visiwa hivyo.

Hizi ndio picha zinazomuonyesha Maalim Seif akiwa Ikulu na kufanya mazungumzo na Rais Magufuli.

maalim

 

maal2

 

maal3

 

maalim4

 

maalim5

 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments