Stori Kubwa

Mabadiliko yamefanywa ndani ya Baraza la Mawaziri TANZANIA Jan 24 2015, list yote ninayo hapa

on

JKLeo huenda ikawa moja ya siku ambazo zitaingia kwenye headlines kubwa za siasa TANZANIA 2014/2015 ambapo January 24 2015 mchana kulikuwa na taarifa za kujiuzulu kwa waziri Muhongo aliyekua kwenye Wizara ya nishati na madini.

Kubwa nyingine kwenye upande huohuo ni ishu ya Rais Kikwete kutangaza mabadiliko madogo ndani ya Baraza la Mawaziri ambako kuna waliohamishwa na wapo waliokuwa Manaibu Mawaziri sasa ni Mawaziri, list yote ni hii hapa;

Mawaziri

George Simbachawene – Waziri wa Nishati na Madini

Mary Nagu– Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais- Mahusiano na Uratibu

Christopher Chiza– Waziri Uwezeshaji na Uwekezaji

Harrison Mwakyembe– Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki

William Lukuvi– Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi

Steven Wasira– Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika

Samuel Sitta– Waziri wa Uchukuzi

Jenista Muhagama– Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge

Manaibu Waziri

Stephen Masele – Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu Rais- Muungano

Angela Kairuki – Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi

Ummy Mwalimu – Naibu Waziri wa Katiba na Sheria

Anne Kilango – Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi

Charles Mwaijage – Naibu Waziri wa Nishati na Madini

 Kama una chochote cha kushare kuhusu madaliko haya unaweza kuniachia comment yako hapa chini mtu wangu.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments