Mix

Ilala walivyowakazia waosha magari na wengine wanaochafua mji… milioni 10 zimepatikana

on

Unaambiwa manispaa ya Ilala Dar es salaam ilianzisha utaratibu wa kuwakamata wote wanaozingua na kuchafua mazingira wakiwemo waosha magari ovyo na watupataka ambao wamepigwa faini kwa pamoja inayofikia MILIONI 10.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments