AyoTV

VIDEO: Gumzo la vyeti feki Mwanza nalo ni noma

on

Stori kuhusu vyeti feki bado ipo kwenye headlines ikiendelea kugusa kila Taasisi ya Umma ambapo baada ya Hospitali ya Taifa Muhimbili kutangaza majina ya waliofoji vyeti, awamu hii ni Manspaa ya Ilemela, Mwanza ambako Wafanyakazi 43 wamebainika kuwa na vyeti feki.

Kwenye Exclusive ni Naibu Meya wa Ilemela, Shaban Maganga ndani ya AyoTV na millardayo.com ambaye amezungumzia ishu hiyo kwenye video hii hapa ambayo unaweza kutazama kwa ku-play…

UDSM yaongea kuhusu ishu ya vyeti vya Waziri wa Sheria…

Soma na hizi

Tupia Comments