Msanii NINI ambaye ame-make Headlines kila kukicha kudaiwa kutoka kimapenzi na msanii Nay wa Mitego amefunguka tena leo March 9, 2018 akiongea na AyoTV. Amezungumzia ishu ya kuonekana kwa Nay usiku, kama siyo wa penzi mbona ukaribu wao umezidi..?
Msikilize msanii NINI akielezea hapa chini kwa kubonyeza PLAY
LULU DIVA “Kapokonywa vitu, Saizi ametelekeza mtoto !!!”
EBITOKE: Kuhusu Mama Ashura kutoonekana, ‘chizi kiziwi’ kam-block