Top Stories

Inashangaza mafuvu zaidi ya 20 yaliyokutwa nyumbani kwa Nyerere “yamezikwa kaburi moja” (+video)

on

Muongozaji wa wageni Mwitongo kwa Mwalimu Julius Nyerere, Gaudensia Waziri ameeleza kuwa wanajeshi waliojenga nyumba ya Baba wa Taifa walikutana na mafuvu zaidi ya 20 na blanketi ambayo yalizikwa kwenye kaburi moja dogo.

Soma na hizi

Tupia Comments