Top Stories

Inasikitisha, Mama awapikia watoto wake mawe akiwadanganya chakula

on

Leo April 30, 2020 imeripotiwa taarifa huko Kenya inayomuhusu mama mjane aliyefahamika kwa jina la Penina Bahati mwenye watoto nane, ambaye amekuwa akiwapikia watoto wake mawe na kuwadanganya ni chakula.

Mama huyo ambaye ameeleza kuwa amekuwa akikosa kipato kutokana na kukosa shughuli Kama ilivyokuwa hapo awali haujaingia ugonjwa wa Corona.

Bonyeza PLAY hapa kufahamu zaidi

Soma na hizi

Tupia Comments