Top Stories

INASIKITISHA: Mkasa wa Said kumwagiwa tindikali, haoni tena (+video)

on

Said Miraji alizaliwa miaka (24) iliyopita kwenye familia ya watoto watano yeye akiwa wa pili kutoka mwisho akiwa na uwezo kuona kwa macho yake mawili na kama ilivyokawaida ya mwanadamu akawaza kupata mwenza wake wa kuishi nae mipango ya ndoa ikaanza zikiwa zimesalia siku chache kabla ya ndoa yake jumamosi ya tarehe 28 mwezi 6, 2019 saa 2 usiku ukawa ndio mwisho wake wa kuona hadi leo imebaki kumbukumbu ya maisha yake.

MREMBO AMWAGA MACHOZI KISA MAPENZI YA SAID “NIOZESHE BILA HATA MAHARI”

Soma na hizi

Tupia Comments