Top Stories

INAUMIZA: Mtoto azaliwa hana jinsia, hawajui ni wa kike au kiume “ana mbegu mashine hana” (+video)

on

Kutoka Dumila, Morogoro kuna hii story ya Mtoto wa miezi nane ambaye Wazazi wake hawafahamu kama Mtoto wao ni wa kike au wa kiume, kutokana na maumbile yake kuwa tofauti na wengine.

Mama Mzazi wa Mtoto huyo amesema anaomba kusaidiwa kwakuwa Familia yake haina uwezo wa kumpeleka Mtoto Hospitali kwa ajili ya upasuaji, Mama anaitwa Cesilia Wiliam Lucas ( 0719786515)

“Nimejifungua Mwanangu hajulikani ni jinsia gani naomba msaada nimpeleke Muhimbili, huyu ni Mtoto wangu wa nane” – Cesilia

RAIS MAGUFULI AWAVAA WAGOMBEA URAIS ZANZIBAR AWAPA ONYO KALI, AELEZA SABABU ZA YEYE KUGOMBEA

Soma na hizi

Tupia Comments