Videos

VideoMPYA: Hutotaka hii video mpya ya Dully Sykes na Harmonize ikupite, inaitwa ‘Inde’

on

Legend wa bongofleva Dully Sykes kamualika mdogo wake kwenye game ambaye ni Harmonize na wakakaa juu ya huu mdundo mpya unaitwa ‘Inde‘ alafu wakamuita Director Hascana awapigie kichupa, ukishaitazama video yenyewe hapa chini usiache kutoa comment yako ili wakipita wajue watu wao wanasemaje.

ULIIKOSA SHOW YA DIAMOND ALIYOIFANYA NEW YORK MAREKANI? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments