Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: India yageuza treni kuwa hospitali za uangalizi
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
August 18, 2022
Ajali ya Basi yaua watano Singida, Polisi azungumza hali ya Majeruhi
August 18, 2022
Huyu ndiye Rais aliyekataa mshahara wake kwa miezi nane, Ukali wake baada ya meya kununuliwa VX
August 18, 2022
Utacheka vituko vya RC Makongoro, agusia Uongozi wa JPM, “Sijaambulia kitu, ila Mama kanipa heshima”
August 18, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > India yageuza treni kuwa hospitali za uangalizi
Top Stories

India yageuza treni kuwa hospitali za uangalizi

April 7, 2020
Share
1 Min Read
SHARE

Nchi ya India imesitisha safari za usafiri wa treni kupitia Shirika lake la Indian Railways, badala yake watatumia kama hospitali za muda kwa ajili ya uangalizi na matibabu ya mlipuko wa ugonjwa wa Virusi vya Corona.

Shirika la reli nchini India linashika nafasi ya nne kati ya mashirika makubwa ya usafiri huo duniani na kwa mara ya kwanza wametangaza kufunga kufanya shughuli hizo baada ya kupita miaka 167.

Waziri Mkuu wa Taifa hilo Narendra Modi, alitangaza watu kutotoka nje siku ya Machi 25 na shirika hilo lilipewa muda wa kusafirisha abiria wanaotumia usafiri huo hadi Aprili 14, ila wamesitisha kutokana na ugonjwa huo kusambaa kwa wingi nchini humo.

April 1 nchi ya India iliweka rekodi ya kutangaza kesi 4,288 ya Virusi vya ugonjwa wa Corona na vifo 117 vya ugonjwa huo.

MBOWE ATOKA KARANTINI “CORONA SI UGONJWA WA SERIKALI” | “DAWA SI LAZIMA IPATIKANE ULAYA”

You Might Also Like

Ajali ya Basi yaua watano Singida, Polisi azungumza hali ya Majeruhi

Huyu ndiye Rais aliyekataa mshahara wake kwa miezi nane, Ukali wake baada ya meya kununuliwa VX

Utacheka vituko vya RC Makongoro, agusia Uongozi wa JPM, “Sijaambulia kitu, ila Mama kanipa heshima”

Shaka: CCM inafuatilia kwa karibu utekelezaji mkakati wa kuwakwamua vijana

Muuzaji mbolea ajinyakulia pikipiki ya YARA

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA April 7, 2020
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Bibi wa miaka 104 aweka rekodi ya kupona Corona
Next Article VIDEO: Mateso na Mikasa aliyopitia Bob Haisa “Niliokota Makopo, Mke alinikimbia”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
Magazeti August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
Mix August 18, 2022
Ajali ya Basi yaua watano Singida, Polisi azungumza hali ya Majeruhi
Top Stories August 18, 2022
Huyu ndiye Rais aliyekataa mshahara wake kwa miezi nane, Ukali wake baada ya meya kununuliwa VX
Top Stories August 18, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ajali ya Basi yaua watano Singida, Polisi azungumza hali ya Majeruhi

August 18, 2022
Top Stories

Utacheka vituko vya RC Makongoro, agusia Uongozi wa JPM, “Sijaambulia kitu, ila Mama kanipa heshima”

August 18, 2022
Top Stories

Shaka: CCM inafuatilia kwa karibu utekelezaji mkakati wa kuwakwamua vijana

August 18, 2022
Top Stories

Jamaa ajikata koromeo makusudi aeleza sababu ‘Maisha ni magumu, ajira zinasumbua’

August 17, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?