Takwimu zilizowekwa na Jeshi la Polisi India zimeonesha kuwa watu wengi wamekuwa wahanga wa ‘mapenzi’ zaidi ya ugaidi.
Kwa mujibu wa takwimu zilizochapishwa na Times of India, kati ya mwaka 2001 na 2015, mapenzi yalikuwa sababu rasmi ya vifo 38,585 ikilinganisha ugaidi ambao ulisababisha vifo vya watu 20,000, wakijumuisha raia wa kawaida na maafisa wa usalama.
Professor mstaafu na mtaalamu wa masuala ya jinsia, Uma Chakravarti, aliiambia Times of India: “Kuzielewa ghasia hizi katika kuharibu uhuru wa chaguo la mtu linapokuja suala la ndoa, mtu anatakiwa kuelewa hasa.”
VIDEO: Polisi DSM yataja watuhumiwa inaowashikilia vurugu za CUF. Bonyeza play kutazama…